Blog hii inajaribu kuonyesha shughuli mbalimbali za kijamii, kiuchumi na kiutamaduni zinazofanyika nchini kwetu ili kuhamasisha watu wengine kushiriki ktk shughuli hizo kwa namna moja ama nyingine katika kujikomboa kiuchumi, lakini pia inaonyesha vitu vizuri vinavyopatikana hapa kwetu ni lazima tujivunie vya kwetu.
Sunday, August 19, 2012
hapa ni mang'ula mororogo na hiki ni chanzo cha mto mkula unaotumika kwenye mradi wa umwagiliaji wa shamba la heka 254
No comments:
Post a Comment